Blog

Jezi za taifa stars yazinduliwa

Sambaza kwa marafiki....

Shirikisho la Soka nichi Tanzania, TFF, limezindua Jezi ya Taifa Stars ambayo itatumika na timu zote za Tanzania. Jezi hizo zina rangi ya Blue ambayo itatumika kwa mechi za Nyumbani na zenye rangi ya Njano kutumika ugenini.

Jezi hizo zitaanza kupatikana leo katika maduka ya michezo.

Akizindua jezi hizo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Paul Makonda, ambaye ni mwenyekiti wa kamati wa Uhamasishaji wa Taifa stars, amewasihi wananchi wote kununua jezi hii sahihi ili kuipa hamasa timu yataifa,

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.