Ligi Kuu

Ligi Kuu

Singida United kupitisha ‘fyekeo’ dirisha dogo la usajili.

Klabu ya soka ya Singida United kutoka mjini Singida imeweka wazi mipango yake katika dirisha dogo la usajili linalotarajiwa kufunguliwa katikati ya mwezi Novemba. Mkurugenzi wa klabu hiyo Festo Richard Sanga amesema klabu hiyo haina mpango wowote wa kuongeza wachezaji katika dirisha dogo na badala yake wamekusudia kupunguza wachezaji kwani...
Ligi Kuu

Kwanini Chama hapigi mashuti?

NIMEMFUATILIA kiungo mshambulizi wa Simba SC, Mzambia, Claytous Chama katika michezo kadhaa na kugundua mchezaji huyo wa timu ya Taifa ya Zambia ni muoga wa kupiga mashuti kutokana na kutokuwa fiti. Chama alifunga goli lake la kwanza klabuni Simba siku ya jana Jumapili wakati Simba ilipoichapa Stand United 3-0 katika...
Ligi Kuu

Azam FC itaichapa Lyon!

MICHEZO mitatu ya ligi kuu Tanzania Bara inataraji kupigwa leo Ijumaa katika miji mitatu tofauti. Ndanda FC ambayo ilikwama mkoani Singida kutokana na hali ngumu ya kiuchumi wiki iliyopita watakuwa nyumbani Nang’wanda Stadium, Mtwara kuwakaribisha Mbeya City FC. Mwadui FC ambayo imeshinda mara moja tu katika michezo nane iliyopita itakuwa...
Ligi Kuu

Feisal na Nyoni kubadili mifumo Simba na Yanga!

Erasto Edward Nyoni na Feisal Salum "Totó" walibaki kua gumzo kwa mashabiki baada ya ushindi wa mabao mawili ya  Tanzania dhidi ya Cape Verde katika dimba la Taifa baada ya kuonyesha kiwango kikubwa katika mchezo ule. Erasto Nyoni alianza katika eneo lá kiungo wa ulinzi baada ya kukosa mchezo wa...
Ligi Kuu

KMC tujiulize, kuna tatizo gani hatupati matokeo?

KIUNGO wa zamani wa Real Kings ya Afrika Kusini, Coastal Union, Simba SC, Azam FC, Mtibwa Sugar FC, na Ashanti United, Abdulhalim Humud amesema anaamini kikosi chao cha KMC FC kitanyanyuka kuanzia Jumamosi hii na kuachana na matokeo ya sare. KMC ambayo inacheza ligi kuu kwa mara ya kwanza itaikabili...
Ligi Kuu

Vita inaendelea Ijumaa hii tena

Kivumbi cha Ligi Kuu Tanzania bara, kitaendelea tena ijumaa hii baada ya mapumziko ya takribani majuma mawili kupisha michuano ya kimataifa. Ligi kuu hii licha ya changamoto za hapa na pale, imepata mwamko mkubwa katika kile tunaita, kupigania ushindi. Kwanza, Timu mbili zinatafuta kuwakilisha Taifa katika michuano ya kimataifa, Pili...
Ligi Kuu

Azam waendelea na mazoezi, Domayo nje miezi miwili.

Timu ya soka ya Azam ya Jijini Dar es Salaam imeendelea na maandilizi kujiandaa na mchezo wa Ligi kuu soka Tanzania Bara dhidi ya African Lyon utakaochezwa siku ya Ijumaa kwenye uwanja wa Azam Complex. Jaffary Idd Maganga ambaye ni afisa habari wa klabu ya Azam amesema lengo lao kuelekea...
Ligi KuuUhamisho

Vicent Bossou; Nipo tayari kurejea Yanga

MLINZI wa kati wa Kimataifa wa Togo, Vicent Bossou amesema yupo tayari kurejea Tanzania kucheza soka lakini kipaumbele chake kikubwa ni klabu yake ya zamani Yanga SC na Azam FC iliyo chini ya Mholland, Hans van der Pluijm. Akizungumza na www.kandanda.co.tz akiwa Vietnam anakocheza hivi sasa mlinzi huyo mwenye uwezo...
Ligi Kuu

Mechi tisa tu, Ndanda FC wanashindwa kusafiri?!

BAADA ya kucheza michezo tisa kati ya 38 wanayotakiwa kucheza msimu huu katika ligi kuu Tanzania, timu ya Ndanda FC ya Mktwara imekuwa klabu ya kwanza kushindwa kusafiri kutokana na ‘ukata’. Ndanda baada ya kuchapwa 3-1 na Singida United katika mchezo uliopita walishindwa kuomndoka mjini Singida kutokana na sababu za...
1 65 66 67 68 69 94
Page 67 of 94