Ligi Kuu

Ligi Kuu

‘Niliamini ni jaribio letu la mwisho..’-Fei Toto

“ Lilikuwa ni jaribio zuri, niliona upenyo wakati nakwenda kupiga mpira ule na nilijua linaweza kuwa shuti letu la mwisho kupiga golini kwa KMC. Ilibidi nitulize akili yangu na namshukuru Mungu niliweza kupiga na mpira ulikwenda sahihi. Inasisimua kufunga goli la ushindi wakati kama ule lakini usisahau kuwa tulifanya kazi...
Ligi Kuu

Mmiliki wa Alliance watofautiana na kocha wake.

Jana timu ya soka ya Alliance Schools kutoka Mwanza ilikuwa inacheza na timu ya Simba katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo Simba iliifunga Alliance Schools magoli 5 kwa 1. Katika mchezo huo ambao ulianza kuwa na hali ya kutofautiana kati ya kocha mkuu wa Alliance Schools na...
Ligi Kuu

Ajib kutocheza Leo!

Kiungo wa klabu ya Yanga, Ibrahim Ajib imeripotiwa kuna asilimia kubwa ya yeye kutocheza katika mchezo wa leo dhidi ya KMC. Ibrahim Ajib amepata majeraha Jana akiwa mazoezini, na imeripotiwa majeraha hayo yanaweza kumsababisha Leo asiwepo kwenye mechi ya Leo. Hili ni pigo kubwa sana kwa Yanga kumkosa Ibrahim Ajib...
Ligi Kuu

Azam fc yavunja mwiko, yaichapa JKT Tanzania nyumbani!

Kwa mara ya kwanza klabu ya soka ya JKT Tanzania imepoteza mchezo katika uwanja wake wa nyumbani wa General Isamuhyo Mbweni JKT Dar es salaam katika mchezo dhidi ya AzamFc. Ikicheza mbele ya mashabiki wake klabu ya Jkt Tanzania imekubali kupoteza mchezo huo na hivyo kua mchezo wake wa kwanza...
Ligi Kuu

Mpepo-‘Tutawapapasa’ wao leo.

Mshambuliaji wa klabu ya Singida United, Eliuter Mpepo, ameongea na tovuti yetu kuelekea mchezo wao dhidi ya Ruvushooting na kusema wapo tayari kupambana na kutoka na alama tatu muhimu. ’Tutawapapasa wao leo, (huku akicheka), tumedhamilia kushinda ili tuwe katika nafasi nzuri katika msimamo” alisema Mpepo ambae mpaka sasa anagoli 2...
Ligi Kuu

JKT Tanzania waitambia Azam.

Maafande wa JKT Tanzania wamejinasibu kuwa tayari kwa mchezpo wa mzunguuko wa 11 wa ligi kuu ya soka Tanzania bara ambao utawakutanisha na vinara wa msimamo wa ligi hiyo Azam FC, kwenye uwanja wa Meja Jenerari Isamuyo uliopo Mbweni JKT jijini Dar es salaam. Afisa habari wa klabu ya JKT...
Ligi Kuu

Zimbwe Jr anaimaliza Simba, timu ina-mmiss Kwassi

MOHAMED Hussein ‘Zimbwe Jr’ ameendelea kutumika katika kikosi cha kwanza cha Simba SC licha ya Mghana, Asante Kwassi kurejea uwanjani kutokana na majeraha aliyoyapata katika mchezo wa ufunguzi wa msimu dhidi ya Tanzania Prisons mwezi Agosti. Zimbwe Jr- mchezaji bora wa ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2016/17 alitumika zaidi...
1 64 65 66 67 68 94
Page 66 of 94