Ligi Kuu

Ligi Kuu

Azam vs Yanga katika rekodi zao

Yanga na Azam FC zinatenganishwa na bao moja na ushindi mmoja pekee katika rekodi zao za muda wote katika mashindano yote. Bao linalowatenganisha lilifungwa dakika ya 70 ya mchezo wao wa Aprili Mosi, 2017 na Obrey Chirwa. Rekodi ya Yanga dhidi ya Azam FC Kwa hiyo mchezo huu utakuwa VITA...
Ligi Kuu

Saba wa Yanga kuikosa Azam fc kesho

Mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga sc, kesho Jumamosi watakua ugenini kwenye uwanja wa Azam complex kuwakabili wenyeji wao Azam FC Katika mchezo huo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara, Yanga itawakosa nyota wake saba waliomajeruhi na mmoja akitumikia adhabu ya kuwa na kadi tatu za njano Wachezaji hao...
Ligi Kuu

CAF huenda wakaitembelea Tanzania

Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF litafanya ukaguzi wa mfumo wa leseni kwa vilabu kwenye upande wa miundo mbinu Caf wakankusudia kufanya ukaguzi huo, wa kutembelea na kutazama miundo mbinu ili kuhakikisha mfumo huo unatekelezeka ipasavyo kwa kuanzia na mtazamo wa vigezo vya miundo mbinu Wakati wa miaka...
Ligi Kuu

CAF Yataja Waamuzi Wa Mechi Za Kimataifa Kwa Simba Na Yanga

Shirikisho la mpira wa miguu barani Africa CAF limetoa orodha ya waamuzi watakaotumika katika hatua ya awali ya michezo ya Ligi Ya Mabingwa Barani Africa na Kombe La Shirikisho itakayopingwa kuanzia mwezi ujao. Kwa Tanzania itawakilishwa na vilabu Kongwe hapa nchini, YangaFC kwenye Klabu Bingwa na SimbaSC kwenye Kombe La...
Ligi Kuu

Kocha msaidizi wa Mwadui FC afariki Dunia

Kocha msaidizi wa Mwadui FC, Jumanne Ntambi, amefariki dunia usiku wa leo baada ya kuanguka bafuni akiwa anakoga nyumbani kwake mkoani Shinyanga Taarifa zinasema mara baada ya kuanguka kocha Ntambi alikimbizwa hospitali ambako walipofika walisema tayari ameshafariki Ntambi alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la damu na hivi karibuni alikwenda...
Ligi Kuu

Azam fc yaitandika Prisons 2-0

Mabingwa wa kombe la mapinduzj klabu ya soka ya Azam FC, leo hii imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Prisons ya Mbeya, katika mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara Katika mchezo huo ambao Azam FC, walikuwa ugenini kunako uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine mjini Mbeya Haikuwa...
Ligi Kuu

Haukuwa muda sahihi kwa Pierre kuja Simba

Rasmi Simba jana imeingia mkataba na kocha Mfaransa Pierre Lenchantre na anatarajiwa kuanza kazi na kikosi cha Simba jumanne. Ni kocha mwenye elimu kubwa ya ukocha , hapana shaka ana mafanikio makubwa pia katika mpira wa Afrika. Mshindi wa Afcon mwaka 2000 akiwa na Cameroon na akafanikiwa kuwa kocha bora...
Ligi Kuu

Kocha mpya Simba aliwahi fukuzwa baada ya mechi tatu tu!

Leo klabu ya Simba imemtangaza Pierre Lechantre kuwa kocha mkuu wa Simba akisaidizana na Masoud Djuma ambaye alichukua ana kaimu nafasi iliyoachwa wazi na kocha Joseph Omong. Pierre Lenchantre ni kocha mwenye elimu kubwa ya ukocha akiwa na cheti cha UEFA pro licence, cheti cha ngazi ya juu kabisa ya...
Ligi Kuu

Msimamizi kituo cha Mtwara afungiwa maisha

Kamati ya maadili ya shirikisho la mpira Tanzania TFF limemfungia kutojihusisha na mchezo wa soka maisha msimamizi wa kituo cha Mtwara Dustan Mkundi kwa kughushi na udanganyifu wa mapato ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kati ya wenyeji Ndanda FC dhidi ya Simba sc ikiwa ni kwenda...
1 89 90 91 92 93 94
Page 91 of 94