Ligi Kuu

Ligi Kuu

Kanduru arejea kuungana na Dilunga kuwaua Azam FC

BAADA ya kukosa michezo 11 ya klabu yake kutokana na malazi ya ‘Apendex´, mshambulizi wa Ruvu Shooting, Issa Kanduru amejiunga na wenzake kwa ajili ya maandalizi kuelekea mchezo wao wa Alhamis ijayo dhidi ya Azam FC. Kanduru ambaye amecheza michezo miwili tu kati ya 13 ya timu yake katika ligi...
Ligi Kuu

Ndayiragije aweka wazi wachezaji atakaowasajili.

Kocha mkuu wa timu ya soka ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) Mrundi Etienne Ndayiragije amesema amependekeza kwa Uongozi kumuongezea wachezaji wanne katika dirisha hili dogo la Usajili ambalo limefunguliwa leo. Ndayiragije amesema anataka kuwa na wachezaji wawili wawili katika kile nafasi na ndiyo maana amepeleka mapendekezo hayo Ili kuweza kujenga...
Ligi KuuTetesiUhamisho

Niyonzima Kurudi Yanga

Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa leo tarehe 15 November. Klabu ya Simba imepokea majina ya wachezaji watano kutoka kwa kocha mkuu wa timu hiyo Patrick Assumes ambao wanatakiwa kupelekwa kwa mkopo katika timu mbalimbali. Niyonzima Moja ya majina ambayo yapo kwenye orodha hiyo ni jina la kiungo wa klabu...
Ligi KuuUhamisho

Mwashiuya naye kuondoka Singida United.

Kiungo Mshambuliaji Geoffrey Mwashiuya amesema ameshapata ofa kutoka vilabu vitatu mpaka sasa ambavyo vinataka huduma yake katika kipindi hii cha Dirisha dogo la Usajili. Mwashiuya amesema kati ya vilabu hivyo kimoja ni kutoka nje ya nchini na kwamba kutolipwa stahiki zake na waajiriwa wake wa sasa ambao ni Singida United...
Ligi Kuu

Malimi Busungu: Nimeachana na soka moja kwa moja

MSHAMBULIZI wa zamani wa Manyema FC, Polisi Tanzania, Coastal Union, JKT Mgambo na Yanga SC, Malimi Busungu ameamua rasmi kuachana na soka la ushindani. Busungu ambaye alikuwa akiichezea Lipuli FC tangu msimu uliopita ameuambia mtandao huu Leo Jumanne kuwa ameachana na soka moja kwa moja huku akisita kuweka wazi sababu...
Ligi Kuu

Huu ndio msimamo wa serikali kuhusu uchaguzi wa Yanga.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr Harrison George Mwakyembe ameitaka klabu ya soka ya Yanga kuheshimu maelekezo ya serikali ya kuitaka klabu hiyo kufanya uchaguzi ili kuziba nafasi za viongozi zilizoachwa wazi. Mwakyembe amesema licha ya taarifa za mkanganyiko zinazotoka ndani ya klabu hiyo kwamba aliyekuwa Mwenyekiti kabla...
Ligi Kuu

Singida wakanusha habari za KUKIMBIWA na wachezaji.

Kuna habari zilikuwa zimezagaa kuwa baadhi ya wachezaji wa Singida United wameandika barua kwa viongozi wao kuomba kuvunja mkataba kutokana na hali ngumu ya uchumi ndani ya klabu hiyo. Kandanda.Co.Tz iliamua kumtafuta Mkurugenzi Mkuu wa klabu hiyo Festo Sanga kutudhibitishia ukweli wa habari hizi ambazo zinazidi kuenea kwa kasi. Alipotafutwa...
Ligi Kuu

Okwi na Pluijm wang’ara mwezi Oktoba.

MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Emmanuel Okwi amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Oktoba wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) msimu wa 2018/2019. Imeripotiwa na Afisa Habari wa TFF, Cliford Ndimbo Okwi anayecheza nafasi ya ushambuliaji, alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, Yahya Zayd...
1 60 61 62 63 64 94
Page 62 of 94