Ligi Kuu

Ligi Kuu

Alliance wakanusha kuondokewa na wachezaji.

Uongozi wa Klabu ya soka ya Alliance ya Jijini Mwanza umekanusha taarifa zilizoanza kuenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa timu yao imesambaratika kwa zaidi ya wachezaji sita kuondoka kambini. Akizungumza na mtandao huu Afisa Habari wa Alliance Jackson Luka Mwafulango amesema taarifa hizo zimelenga kuwaondoa mchezoni kipindi ambacho wanajiandaa na...
Ligi KuuTetesi

Baada ya tishio la BMT, Manji kurejea rasmi Yanga

Baada ya jana Baraza la michezo Tanzania (BMT) Kuitaka klabu ya Yanga kufanya uchaguzi kuziba nafasi za viongozi ambao walijiudhulu na kuacha nafasi hizo wazi, kuna taarifa ya kuwa aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo Yusuph Manji anatarajia kurejea rasmi katika klabu hiyo. Yusuph Manji ambaye aliandika barua ya kujiudhulu Uenyekiti...
Ligi Kuu

Idd Suleiman: Mbao hawakutuzidi chochote.

Mshambuliaji wa timu ya Kandanda ya Mbeya City Idd Suleiman amesema kuongoza mabao Mawili Dhidi ya Mbao FC na baadae kutoka sare ilikuwa ni sehemu ya mchezo na kwamba hakuna wa kulaumiwa kwenye timu yao. Idd ambaye alifunga bao la Kwanza katika mchezo huo ambao ulipigwa kwenye uwanja wa CCM...
Ligi Kuu

Ni ngumu Yanga kubeba Ubingwa ukiwa na MAKAMBO

Jana nilikuwa napitia maoni ya mashabiki wa Yanga, ambao kwa kiasi kikubwa walikuwa wanaonekana wana furaha sana. Furaha yao imejengwa kwa wao mpaka sasa hivi kutofungwa katika mechi 9 walizocheza. Ni mwanzo mzuri sana wa ligi, mwanzo ambao unatia matumaini sana, na ni mwanzo ambao Mwinyi Zahera na kikosi chake...
Ligi Kuu

Kakolanya; Sitazami rekodi zangu binafsi, hii ni ligi.

GOLIKIPA namba moja wa Yanga SC, Beno Kakolanya usiku wa Jumanne hii aliendeleza kiwango chake kizuri na kuisaidia timu yake kuendeleza vipigo kwa kila mpinzani wao anayekuja uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Beno ambaye ameruhusu goli moja tu katika michezo saba aliyocheza msimu huu aliiongoza Yanga kuichapa Lipuli FC...
Ligi Kuu

CHAMA amekuja kuua “UFALME” wa NIYONZIMA!

Kabla hata hajavaa jezi ya Simba alikuwa tayari mfalme! , Mfalme wa burudani uwanjani, Mfalme ambaye wengi walikuwa wanaamini kuwa alikuwa katika eneo ambalo siyo sahihi. Hata msemaji wa Simba, Haji Manara alikuwa anaamini kabisa kuwa Haruna Niyonzima alikuwa hafai kabisa kuchezea Yanga. Aina ya mchezo wa Yanga ulikuwa hauendani...
Ligi KuuTetesi

Njaa Yanga yasababisha kina AJIB kugoma!

Kuelekea katika mchezo dhidi ya KMC kuliripotiwa kuwa Ibrahim Ajib anaumwa na asingeweza kucheza katika mchezo huo. Kwa habari za ndani ya klabu ya Yanga , Ibrahim Ajib yupo katika mgomo baada ya kutolipwa mshahara wa miezi miwili. Hali inaonekana ni tête katika klabu ya Yanga na imepelekea baadhi ya...
Ligi Kuu

Namkumbuka “MAFISANGO” Kila nikimuona “CHAMA”.

Niliwahi kumshuhudia Patrick Mafisango, macho yangu hayakujutia hata mara moja kila taswira yake ilipokuwa inapenyeza kwenye mboni ya jicho langu. Mboni ya jicho langu ilibarikiwa sana na burudani ambayo ilikuwa inatoka katika miguu ya Patrick Mafisango. Ilikiwa burudani haswaa!, alikuwa anastahili kuitwa fundi. Aliweza kutengeneza kila aina ya kifaa au...
Ligi Kuu

Goli la Ngoma katika uwanja ´mbovu´ liwastue TFF sasa.

DONALD Dombo Ngoma alifunga goli pekee na kuipa ushindi muhimu timu yake ya Azam FC katika mchezo wa ugenini dhidi ya Singida United jana Jumapili lakini kikubwa nilichokiona katika mchezo huo ni ubovu wa eneo la kuchezea ´pitch´ ya uwanja wa Namfua. Uwanja huo ambao ulifanyiwa matengenezo makubwa mara baada...
1 62 63 64 65 66 94
Page 64 of 94