Ligi Kuu

BlogLigi Kuu

Ruvu Shooting: Tumepokea salamu za Matola, ila………..

Klabu ya soka ya Ruvu Shooting imeitahadharisha timu ya soka ya Lipuli FC kuwa wasitarajie mteremko katika mchezo wao unaofuata wa Ligi kama iivyokuwa kwa Biashara United kwa kupata ushindi wa mabao 3-1. Ruvu Shooting kupitia kwa Msemaji wao Masau Bwire imesema kwamba imepata ujumbe kutoka kwa kocha msaidizi Seleman...
Ligi Kuu

Yanga yashinda tena MKOANI.

Timu ya Yanga imefanikiwa kushinda katika uwanja wa sokoine mkoani Mbeya dhidi ya Tanzania Prisons Tanzania Prisons walikuwa wa kwanza kufunga goli, kabla ya Ibrahim Ajib kusawazisha goli hilo. Amis Tambwe aliyetokea benchi aliiwezesha Yanga kufunga goli la pili. Wakati mpira ukiwa unaelekea mwishoni , Amis Tambwe tena alifunga goli...
Ligi Kuu

Wanaume 22 wa Stand United watua Dar kuwaangamiza Azam.

Kikosi cha wachezaji 22 cha Stand United 'Chama la Wana' kimewasili salama Jijini Dar es Salaam Usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya mchezo wa ligi dhidi ya Azam utakaofanyika kesho kwenye uwanja wa Azam Complex. Kocha msaidizi Athuman Bilal amesema kikosi hicho kipo katika hali nzuri ukizingatia kuwa walikuwa...
Ligi Kuu

Beno Kakolanya bado yupo YANGA.

Kuna tetesi nyingi sana ambazo zilikuwa zimezagaa kwenye dirisha dogo la usajili kuhusu Beno Kakolanya. Habari nyingi zilikuwa zimezagaa kuwa amevunja mkataba na klabu yake ya Yanga baada ya klabu hiyo kushindwa kumlipa mshahara wake na fedha yake ya usajili. Leo hii mtandao wa Kandanda.co.tz umemtafuta Beno Kakolanya na amedhibitisha...
Ligi Kuu

Beno angefuata njia ya Kessy, si kuimaliza Yanga.

KWA misimu miwili ndani ya Yanga SC, golikipa Beno Kakolanya ameanza kikosi cha kwanza katika michezo isiyozidi 25 kati ya 73 ya ligi kuu Tanzania Bara, amecheza chini ya mechi tano kati ya 22 ambazo Yanga wamechezakatika michuano yaCaf ( Champions league + Confederations), na hajawahi hata mara moja kuichezea...
Ligi KuuUhamisho

Mbadala wa Kapombe

Zana Coulibaly, beki wa kulia, atambulishwa rasmi na klabu ya Simba leo hii.  Zana anakuja kuongeza nguvu katika nafasi ya Shomari Kapombe ambae ni majeruhi sasa. Uchambuzi zaidi kufuata.......
Ligi KuuUhamisho

Singida utd yashusha wawili wa Kimataifa!

Klabu ya soka ya Singida utd ya mkoani Singida imeendelea na harakati zake za usajili na kufanikiwa kuwanasa Wazambia wawili. Singida utd imewaongeza Wazambia wawili katika nafasi ya kiungo na ya ushambuliaji ili kujiimarisha katika Ligi Kuu Bara na michuano ya Sportpesa Supercup. Singida utd imemsajili Jonathan Daka anacheza nafasi...
Ligi KuuUhamisho

Mwingine asainishwa na Azam fc.

Baada ya kufanikiwa kupata saini ya mshambuliaji wa zamani wa Yanga Obrey Chirwa  klabu ya Azam fc imefanikiwa kumuongezea mkataba mwingine mpya  kiungo mshambuliaji wake  Joseph Mahundi. Joseph Mahundi amekubali kuendelea kubakia katika viunga vya Azam Complex mpaka mwaka 2020 baada ya kukubali kusaini kandarasi nyingine ya miaka miwili. Ikumbukwe...
1 58 59 60 61 62 94
Page 60 of 94