Ligi Kuu

Ligi KuuUhamisho

Obrey CHIRWA kwenda Azam Fc ni pigo kwa YANGA

Msimu jana ulikuwa mgumu sana kwa Yanga kuanzia ndani mpaka nje ya uwanja. Ilikuwa Yanga ambayo ilikuwa na matatizo mengi sana. Matatizo ambayo yalichangia kwa kiasi kikubwa wao kupoteza ubingwa wao kwa wapinzani wao Simba. Haikuwa Yanga ile ambayo tulikuwa tumeizoea, Yanga ambayo ilifanikiwa kuchukua ubingwa wa ligi kuu Tanzania...
Ligi Kuu

Kagere na Okwi wakabidhiwa zawadi za kandanda

Tovuti ya kandanda.co.tz iliendelea na utaratibu wake wa kusheherekea  pamoja na wachezaji wanaofunga magoli mengi ndani ya mwezi moja kwa kukabidhi zawadi kwa Meddie Kagere na Emmanuel Okwi kutoka klabu a Simba Sc. Kagere alikuwa ni mchezaji wa kwanza kuwa galacha wa mabao mwezi agosti, alifunga mabao matatu (3). Kutokana...
Ligi KuuTetesi

Mshambuliaji wa Simba ana ofa tano mezani!

Mshambuliaji wa zamani wa Tanzania Prisons, Mohamed Rashid, aliekosa nafasi katika klabu yake ya sasa ya Simba Sc amepata nafuu baada ya klabu mbalimbali za Ligi Kuu Bara kuonyesha nia ya kumuhitaji kwa mkopo. Mohamed Rashid ameonekana kua lulu kwa baadhi ya vilabu wakitaka huduma yake huku baadhi ya vilabu...
Ligi KuuUhamisho

Humoud huzengea wake za wachezaji wenzake!

Klabu ya soka ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) imeridhia kuvunja mkataba na kiungo mkongwe Humoud Abdulharim Ali baada ya kuridhika kuwa amekuwa mtovu wa nidhamu kwa kuwatongoza wake na wachumba wa wachezaji wenzake. Akizungumza na mtandao huu katibu msaidizi wa KMC Walter Urio amesema walipata malalamiko kutoka kwa mchezaji anayelala...
Ligi Kuu

Hapana! Zahera amefikia pabaya.

Niliwahi kuandika kuwa ni ngumu kwa Yanga kubeba ubingwa wa ligi kuu ikiwa na mshambuliaji aina ya Makambo. Na hii ni kwa sababu anakosa nafasi nyingi sana za wazi. Na kibaya zaidi hakuna mtu ambaye anaweza kuwa kama mbadala, benchi la Yanga lina ufinyu wa washambuliaji, ufinyu ambao unamfanya Makambo...
Ligi Kuu

Alliance wakanusha kuondokewa na wachezaji.

Uongozi wa Klabu ya soka ya Alliance ya Jijini Mwanza umekanusha taarifa zilizoanza kuenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa timu yao imesambaratika kwa zaidi ya wachezaji sita kuondoka kambini. Akizungumza na mtandao huu Afisa Habari wa Alliance Jackson Luka Mwafulango amesema taarifa hizo zimelenga kuwaondoa mchezoni kipindi ambacho wanajiandaa na...
1 61 62 63 64 65 94
Page 63 of 94