Baada ya Chanongo, Ubwa na Ndemla, Salamba atapotezwa.
Wako wapi, Abuu Ubwa na Haruna Chanongo? Kwanini Said Ndemla bado anaendelea kuchezea Simba SC wakati iliripotiwa alifuzu majaribio yake huko Sweden mwanzoni mwa mwaka huu? Nini kinaendelea kumfanya Thomas Ulimwengu aendelee ‘kutangatanga’ kimpira tangu alipolazimisha kuondoka TP Mazembe Septemba 2016? Maswali yote haya najiuliza na ninayo majibu ya msingi,...