Ligi Kuu

Ligi Kuu

Simba ina kikosi kipana na imara kuzidi Yanga.

Ligi kuu Tanzania bara inaendelea , huku ushindani ukiwa mkubwa. Huwezi kuacha kutaja ushindani bila kuacha kuwaongelea Simba na Yanga. Hawa ndiyo wazazi wa mpira wetu. Mpaka sasa timu hizi zimeshaonesha uwezo wao, lakini kuna tofauti moja tu inayowatofautisha wawili hawa. Tofauti hiyo ni Upana wa vikosi viwili. Msimamo wa...
Ligi Kuu

Okwi na magoli tisa katika michezo mitano Oktoba.

BAADA ya kuanza msimu kwa mwendo wa chini, mfungaji bora wa ligi kuu Tanzania Bara msimu uliopita, Mganda, Emmanuel Okwi ameanza kuwasha moto wake mwezi huu baada ya kufunga magoli saba- ikiwemo ´HatTrick´ katika michezo mitatu iliyopita ya Simba SC. Okwi ilimlazimu kusubiri hadi mchezo wa mzunguko wa saba kufunga...
Ligi Kuu

Okwi ameweka rekodi uwanja wa Taifa

Emmanuel Anorld Okwi "emmosting" ni kama gari limewaka hivi kutokana na kasi yake ya ufungaji wa mabao katika Ligi Kuu Bara. Emmanuel Okwi anakua mchezaji wa kwanza kufunga mabao matatu katika mchezo mmoja "hatrick" katika klabu ya Simba msimu huu na wapili katika Ligi Kuu Bara baada ya Alex Kitenge...
Ligi Kuu

Mashabiki wa Lipuli wapania Gemu ya Yanga

Mashabiki wa klabu ya Lipuli fc kutoka Iringa, watafunga safari kutoka Iringa mpaka Dar és salaam ili kuisapoti timu yao katika mchezo wa Jumanne dhidi ya Yanga. Lipuli ilifanikiwa kupunguza ukame wa magoli baada ya kuichabanga Mbao Fc nyumbani kwake bao 3-1. Wakiongea na tovuti hii baadhi ya mashabiki wameitikia...
Ligi Kuu

Owino yupo fiti kuwavaa Yanga.

KUELEKEA mchezo dhidi ya Yanga, Lipuli Fc leo jioni imefanya mazoezi ktk uwanja wa Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar Es Salaam. Kwa mujibu wa Msemaji wa Klabu hiyo, Clement Sanga, amesema Mlinzi Joseph Owino ameungana na wachezaji wengine katika mazoezi baada ya kukosekana kwenye michezo kadhaa ya hivi...
Ligi Kuu

Kaseja: Yanga walistahili kushinda, lakini…!

NAHODHA wa KMC FC, Juma Kaseja alishuhudia Yanga SC wakigongesha nguzo mara tatu wakati wa pambano lao la ligi kuu Tanzania Bara jana Alhamis katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mshindi huyo mara saba wa ligi kuu alishuhudia kiki ya mkwaju wa faulo ya kiungo Feisal Salum ‘ Fei...
Ligi Kuu

Huyu Zahera na mbinu zake zitaipa Yanga taji la ligi kuu msimu huu

Kocha Zahera Mwinyi alifanya mabadiliko mawili ya haraka haraka ndani ya dakika tatu na kuamua kutumia washambuliaji wane- wawili asilia na wawili wenye uifahamu wa kuzunguka eneo lote la mashambulizi. Wala hakuogopa mashambulizi kadhaa mazito yaliyofanywa na KMC FC wakati, Mcongo huyo alipoamua kuwapumzisha viungo Mzimbabwe, Thaban Kamusoko dakika ya...
1 63 64 65 66 67 94
Page 65 of 94