‘Niliamini ni jaribio letu la mwisho..’-Fei Toto
“ Lilikuwa ni jaribio zuri, niliona upenyo wakati nakwenda kupiga mpira ule na nilijua linaweza kuwa shuti letu la mwisho kupiga golini kwa KMC. Ilibidi nitulize akili yangu na namshukuru Mungu niliweza kupiga na mpira ulikwenda sahihi. Inasisimua kufunga goli la ushindi wakati kama ule lakini usisahau kuwa tulifanya kazi...