Hii ndiyo Programu ya Serengeti Boys kabla ya AFCON U17.
Kikosi cha timu ya Vijana chini ya Umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) kimeendelea na mapumziko kupisha sikukuu za Christmas na Mwaka mpya kabla ya kurejea tena kambini kuendelea na maandalizi kwa ajili ya michuano ya Afrika itakayofanyika mwakani hapa nchini. Kocha wa Serengeti Boys Oscar Mirambo amesema baada ya...