Mjadala mkubwa hivi karibuni umekuwa ni utaratibu ambao unatazamiwa kuletwa katika Ligi Kuu Tanzania bara, fuatilia makala hii ambayo inakupa kwa undani mtazamo wa suala hili kutoka kwa mwandishi.
Udhamini huo pia uliambatana na zawadi za washindi wa ligi, ambao walipewa shilingi milioni 80.4, mshindi wa pili ,milioni 40.2, wa tatu 28.7, wan ne 22 na timu yenye nidhamu ilipata milioni 17.