Vilabu vinaweza kuwa na utaratibu ambao umekubalika wa kupunguza utegemezi, na kuangalia zaidi kushinda na kuwekeza zaidi kwa lengo hilo hilo la kupunguza utegemezi.
Kati ya timu sita zilizopanda mwaka jana ni timu za KMC, Coastal Union, Allince School ndio zipo salama huku Biashara, JKT Tanzania zikipambana kusalia Ligi Kuu Bara, African Lyon wao wameshashuka daraja tayari.
Goli likifungwa na likazua utata, hasa kabla ya kufungwa, VAR hutumika kujua kama kuna usahihi wa goli hilo hasa kwa kutazama kama ni Offside au yalitendeka madhambi (Man City vs Tottenham)