Makubaliano hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Mlimani City ukihudhuriwa na wadau mbalimbali wa soka pamoja na waandishi wa habari za michezo nchini.
kubwa zaidi ni tiketi 100 kutoka kwa muunganilo wa Online Media Fc timu hii ya mpira wa miguu ambayo inahusisha wafanyakazi wa media zote za online nchi hii.
Sasa Stars wana kibarua kigumu dhidi ya majirani zetu Uganda ambapo kutakua na michezo miwili ndani ya siku nne. Stars itaanzia ugenini Machi 24 nchini Misri kabla ya kurudiana tena Machi 28 nyumbani
Kutakua na makundi matano yenye timu nne maana yake timu shiriki ni 20. Tunawakaribisha makampuni na taasisi mbambali waje wachukue fomu ofisini kwetu pale Lumumba