Ligi KuuKocha aota mbawa, Yanga yaamua kuanza upyaThomas Mselemu4 years agoKitendo hicho kimewafanya Yanga kuachana na kocha huyo na kuamua kurudi tena katika maombi ya mwanzo na kuanza kutafuta kocha mpya haraka iwezekanavyo.
TetesiYanga kumtambulisha kocha wake mzawa!Thomas Mselemu4 years agoUtambulisho wa benchi jipya la ufundu unatarajiwa kufanyika hivi karibuni kabla ya kufikia lilele cha siku ya Mwananchi Jumapili August 30.
BlogCarlinhos na sura yenye manufaa kwa YangaZe Mafia4 years agoBinafsi nawapangeza Yanga kwa kufanikisha usajili wake kwani ni mchezaji atakayeinufaisha timu hio katika nyanja mbali mbali ikiwemo hizi tatu.
UhamishoHii Yanga inaelekea pazuri!Thomas Mselemu4 years agoMsimu ujao Yanga ikikosa ubingwa tuulizwe sisi GSM" Mhandisi Hesri Said alisisitiza katika moja ya kauli zake kwa Wanayanga kuelekea msimu ujao.
UhamishoMo-Dewji cha mtoto kwa GSMMartin Kiyumbi4 years agoGSM imemzidi Mo-Dewji kwenye dirisha hili la usajili
BlogTetesiYondani kurudishwa YangaMartin Kiyumbi4 years agoTaarifa mpya ni kuwa beki mkongwe Kelvin Yondani anaweza kurejeshwa kikosini baada ya kuanza mazungumzo mpya na uongozi wa Yanga...
BlogNaenda kuibadilisha YANGA- SenzoMartin Kiyumbi4 years agoAliyewahi kuwa mkurugenzi mtendaji wa klabu ya Simba Senzo Mbatha amerudi Tanzania akitokea nyumbani kwao Afrika kusini. Mtandao huu ulikuwepo...
Ligi KuuMO-Dewji ni muongoMartin Kiyumbi4 years ago"Tuliandaa bajeti ya msimu mzima , na mimi nikawa nafanya kulingana na bajeti iliyopo
BlogSikuwa na furaha Simba- SENZOMartin Kiyumbi4 years ago"Sijutii uamuzi wangu . Nasonga mbele hata siku moja sijutii uamuzi wangu kwa sababu nilikaa chini na kutafakari kwa muda mrefu
Ligi KuuLuis Miquissone ni mchezaji wa Simba-SENZOMartin Kiyumbi4 years agoBaada ya kuwepo na taarifa za hali ya sintofahamu kuhusu mkataba wa Luis Miquissone mchezaji raia wa Msumbiji, mtandao huu...