Klabu ya soka ya African Lyon imesema haiwezi kuzungumza lolote kuhusu kuondoka kwa Haruna Moshi Boban ambaye anahusishwa na kujiunga na Yanga SC Kwani bado hawana uhakika na usajili huo na zingine.
Kuna wengine watakumbuka sanaa ambayo alikuwa akiionesha uwanjani, magoli aliyokuwa anayafunga yanaweza yakawa kumbukumbu kubwa vichwani mwa wengi. Kuna mengi...