











Unaweza soma hizi pia..
Byuti Byuti vs Utaipenda Day
Yanga mwenyeji wa mchezo kwa kuwa anamiliki ubingwa wa mashindano Mama ya nchi yaani ligi kuu ( top tier league).
Milioni 500 vs Milioni 300, mshindi ushamuona.
Kariakoo Derby kwa mara nyingine tena inawakutanisha Yanga Sc dhidi ya watani wao Simba Sc.
Uwanja wa Sokoine kukarabatiwa
Kampuni ya michezo ya kubashiri ya Parimatch wamethibitisha hilo leo baada ya kuingia mkataba wa udhamini wa mwaka mmoja na Klabu ya Mbeya City.
Parimatch waingia mkataba na Mbeya City.
Pia msemaji wa kampuni ya Parimatch amesema wapo katika mazungumzo na vilabu vya Championship ili kutoa udhamini zaidi lakini pia wapo katika mazungumzo na Bodi ya Ligi.