Ligi Kuu

Alichokisema Kocha Popadic baada ya kupoteza mchezo wa kwanza Singida United.

Sambaza....

Kocha Popadic Dragan wa Singida United amesema uwanja na ugeni wa kuwafahamu wachezaji wake ndiyo kimechangi kupoteza mchezo wa leo dhidi ya Mbao kwa bao 1-0.

Kocha wa Singida United Popadic Dragan

Bao la Mbao Fc limefungwa na kiungo wa zamani wa Njombe Mji Raphael Siame katika dakika ya 72

Kocha wa Singida United Popadic Dragan

Mchezo huo umefanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.