Unakumbuka Kali ya Zidane Pale Ujerumani?
Zinedine Zidane Yazid maarufu kama Zizzou alikuwa na kiwango bora kwenye michuano hiyo ya kombe la Dunia 2006
Story za zamani za kuhusu kandanda, ikihusisha matukio ya zamani ya soka, wachezaji wa zamani wa soka na matukio yake