
David Molinga "Falcao"
Baada ya Jana David Molinga kutoonekana hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba wa Yanga na kuacha maswali mengi kuhusiana na tukio hilo kuna Habari kuwa uongozi wa Yanga wanampango wa kuachana na mchezaji huyo.
Mchezaji huyo ambaye yuko kwa mkopo katika klabu hiyo ya Yanga ,inaelezewa kuwa viongozi mbalimbali wa Yanga wamechoka na tabia zake za utovu wa nidhamu na wanampango wa kuachana naye , David Molinga aliletwa na aliyewahi kuwa kocha wa Yanga , Mwinyi Zahera .
Unaweza soma hizi pia..
Manara ataja timu atakayokwenda Morrison.
Kila lakheri huko uendako, kwa taarifa nilizozipata mida hii najulishwa unaelekea klabu kubwa Barani Afrika
Said Ndemla awa lulu, wababe wanataka kumrudisha mjini.
Said Ndemla alijiunga na Mtibwa msimu huu akitokea Simba Sc baada ya aliyekua kocha wa wa Simba wakati huo Didier Gomes kumkataa
Sakho agombewa Afrika Kusini, Kaizer na Orlando wamtolea macho!
Ikiwa ana msimu mmoja tuu na Simba akijiunga nao akitokea Teungueth ya nchini kwao Senegal ameonekana kuwa moja ya nyota tishio kwa Wekundu wa Msimbazi.
Samatta huyoo West Brom
Baada kuanza kwa kipigo cha mabao matatu kwa sifusi West Brom wanahitaji mshambuliaji wa kwenda kuongeza nguvu katika eneo la mbele huku wakiona Mbwana Samatta