Kiungo aliyeikataa YANGA, kutua SIMBA leo mchana!
Tangu dirisha dogo la usajili lifunguliwe klabu ya Simba hajitangaza mchezaji yoyote ambaye wamemsajili zaidi ya kuwaona Yanga wakiendelea kusajili kwa tambo. Leo hii msemaji mkuu wa Simba , Haji Manara amedai kuwa kuna wachezaji wawili ambao watawasili katika uwanja wa ndege kwa ajili ya kumalizana na Simba. "Leo hii...