Blog

Droo ya 888 bet yaendelea kuzalisha washindi

Sambaza....

Kwa wiki ya pili sasa kampuni ya michezo ya kubahatisha 888 bet imeendelea kuonesha kuwa ina nia ya kuendelea kuwapa fursa watanzania kupitia michezo ya kubashiri kwa kuwazawadia washindi wengine wa wiki ya pili ya droo ya Dabodabo pikipiki, runinga pamoja na simu tatu.

Droo hiyo ya dabodabo inategemea kuendelea kutunuku washindi zawadi hizo za kila wiki kwa wiki sita, ambapo kwa wiki ya saba mshindi mmoja atajinyakulia zawadi kubwa ya kitita cha milioni mia moja.

“Hii ni kampuni pekee ambayo inakupa ushindi kwa kuweka mkeka wako tu, haijalishi kama umetiki au haujatiki, hakutakua na nafasi kama hii tena.”, Alisema Oka Martin, mmoja wa wachekeshaji wa kundi la Wanyabi ambao ni mabalozi wa kampuni hiyo wakiwa wanatangaza washindi wa wiki ya pili ya Dabodabo.

“Niwasisitize wadau wote wa michezo ya kubahatisha, tembelea www.888bet.tz uweke mkeka wako, zawadi bado ni nyingi na kila unapoweka mkeka unaongeza nafasi ya kujichukulia kile kitita cha milioni mia.” Aliongeza Carpoza, mwenzake na Oka Martin.
Kampuni ya 888bet ni kampuni mpya ya michezo ya kubahatisha iliyozinduliwa Tanzania na yenye lengo la kufanya michezo ya kubahatisha iwe na manufaa Zaidi kwa wadau wake na watanzania kwa ujumla.

Kila wiki washindi hupokea pikipiki, simu janja tatu na runinga ya inchi 65 huku wakijiwekea nafasi ya kushindania zawadi kubwa ya milioni mia moja.









Sambaza....