Ligi Kuu

Hiki ni kikosi changu bora VPL msimu huu

Sambaza....

Ligi yetu ya Tanzania Bara, muda huu imesimama kwa sababu ya janga la CORONA, hebu unda na tujadili kikosi gani chako kutoka katika timu za Ligi Kuu Tanzania Bara kinaweza kuwa tishio zaidi, na unadhani ingekuwa ni timu katika Ligi Kuu Yetu ingekuwa na alama ngapi muda huu?

Tuandikie katika sehemu ya maoni, usisahau kututajia kocha wako na nahodha wako.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.