Mataifa Afrika

Kipi kifanyike?

Sambaza kwa marafiki....

Tanzania baada ya miska 39 imefanikiwa tena kupata tiketi ya kwenda katika michuano mikubwa barani Afrika, AFCON.

#KandandaChatLeo imekuja a mada hii chini, karibu tujadili.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.