Mabingwa Afrika

Kuiona Simba dhidi ya Tp-Mazembe ni laki moja kama kawa!

Sambaza kwa marafiki....

Kuelekea robo fainali ya Klabu Bingwa Africa msemaji wa klabu ya Simba Hajji Manara ametaja viingilio vitakavyotumika siku ya mchezo huo utakaopigwa katika dimba la uwanja wa Taifa “Kwa Mkapa”.

Katika mchezo huo kiingilio cha chini kabisa kitakua elfu nne huku cha juu kabisa kitakuna ni laki moja.

Mzunguko 4000
VIP A 20,000
VIP B 10,000
PLATNUM 100,000

Simba inaenda kukutana Tp Mazembe katika mchezo wa kwanza jijini Dar es salaam huku ikiwa na kumbukumbu nzuri baada ya kuwafunga Wacongo wenzao AS Vita katika dimba hilohilo kwa mabao mawili kwa moja.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.