Sambaza....

Lipuli FC wamepata alama zote tatu wakicheza ugenini dhidi ya Wanatamtam Mtibwa Sugar.

Mchezo huo umepigwa kwenye uwanja wa Manungu Complex mkoani Morogoro, na bao pekee la Seif Abdallah Karihe katika dakika ya 80 dhilo liipa ushindi Lipuli katika mchezo huo mgumu.

Msikilize Kocha msaidizi wa Lipuli, Seleman Matola akizungumza na Kandanda.co.tz mara baada ya mchezo huo kumalizika.


Sambaza....