Azam fc vs Lipuli fc katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Ligi Kuu

Huu hapa mkeka wa mechi za leo VPL.

Sambaza....

Hizi ni mechi zote za jumamosi hii ya tarehe 1 ya mwezi, mechi ipi unaisubiria kwa hamu zaidi? Tumekuwekea mkeka wetu piaHuu ni Utabiri wetu wa mechi za leo.


Kagera Sugar FC 2 – 1  Singida Utd FC

Katika mechi tano zilizopita za VPL, Singida haijawa na matokeo mazuri sana, mabadiliko ya kikosi chao pia inaweza kuwa sehemu ya kuwachanganya kupata ushindi pale Kaitaba.

Ruvu Shooting 2-3 Lipuli FC

Lipuli Fc licha ya matatizo ya nje uwanja lakini wanafanya vizuri sana wakiwa uwanjani.

Tanzania Prisons 1-0 KMC FC

Prisons wanaweza wakautumia uwanja huu wa Dodoma inawezza kuwa chachu kwao katika ushindi dhidi ya KMC ambayo bado haipo vizuri

Namungo FC 3-1 Mbao FC

Namungo wazuri nyumbani kwao, mtaji wa mashabiki wao leocambao wataingia bure inaweza kuwapa ushindi mnono.

Simba SC 1-2 Coastal Union FC

Simba inaongoza Ligi, licha ya kuonekana mechi ngumu ila Imeonekanaa wanafungukika na umakini wa Coastal Union mechi inaweza kuwa nzuri zaidi.


Tupe na wewe utabiri wako..


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.