Blog

Mechi muhimu za leo zitakazoamua nani galacha wa magoli mwezi huu.

Sambaza....

Ni utaratibu wetu kusheherekea na wafungaji mabao mengi kila mwezi, mechi za mzunguko wa 26 na 27 zitaamua nani atakuwa galacha wa magoli mwezi huu wa nne.

John Bocco akishangilia goli baada ya kuifunga Lipuli fc.

Tayari Sadala Lipangile ameshapewa zawadi zake za mwezi Januari.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.