Simba SC vs Tanzania Prisons

Sambaza....

Simba anaingia uwanjani akiwa na uongozi wa ligi lakini pia akitaka kuongeza point Kati yake na Yanga. Prisons ya Mbeya wamepania Kumaliza Ligi Wakiwa nafasi tano za juu. Hali ya mvua huenda Ikawa faida kwao.

Taarifa

Tarehe Muda Ligi Msimu Mwisho
16/04/2018 4:00 pm TPL 2017-2018 90'

Sambaza....