Sambaza....

Mwaka 2016 Vichai Srivaddhanaprabha na familia nzima ya Leceister City walitupatia mashabiki wa soka muujiza ambao hautajirudia tena miaka ya karibuni. Tutawakumbuka daima, baada ya Leicester City kuchukua ubingwa wa dunia akiwa na kikosi cha gharama ndogo.

Mungu azilaze pema peponi roho za wote waliokuepo kwenye ajali ya Helicopter iliyotokea Kingpower Stadium. Awatie nguvu, ujasiri na faraja familia za wahanga wote, Leceister City na mashabiki wote wa soka duniani katika kipindi hiki kigumu. Amen.

Sambaza....