
Tovuti yetu ina zaidi ya makala/uchambuzi na habari 1,000 za kuvutia, bila kusahau Msimamo, Wafungaji bora, Matokeo na Ratiba, tukielekea katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika tovuti itatoa jezi za timu ya Taifa Tanzania, kwa Wanakandanda watakaokuwa wamesoma makala zetu na kutoa maoni mara nyingi katika makala au habari ndani ya tovuti wakitumia hashtagg #NimeisomaHii.
Nini ufanye?
Fungua habari au makala yoyote kupitia www.kandanda.co.tz, isome makala,habari au ratiba/matokeo.
Andika maoni yako ukitumia akaunti yako ya Facebook malizia na neno #NimeisomaHii (Mfano katika picha juu)
Nitashinda kivipi?
Toa maoni zaidi ukitumia #NimeisomaHii na sambaza kwa marafiki kwa kuyatuma maoni hayo Facebook pia.
Muda:
Kuanzia tarehe 16/06/2019 hadi tarehe 23/06/2019
*vigezo na masharti kuzingatiwa
Anza sasa: Hizi chini ni za hivi karibuni.
- Tigana: Simba atashinda, Mayele amezoeleka!
- (no title)
- Habari ikufikie Mwananchi!
- Jumamosi tulivu ya Sato na Sangara.
- Usichokijua katika safari ya Simba kombe la FA!
- Ivan Zamorano na jezi ya mchongo!
- Simba ya Lwanga na Benno kuelekea kisasi cha msimu!
- Rafiki yangu Ajib ananipa unyonge!
- Ronaldinho: Natamani ningecheza na Mo Salah!
- Juma Mgunda na utamu wa Coastal Union yake!