Sambaza....

Manchester United na Liverpool hawawezi na hawajawahi kuwa bora wote kwa wakati mmoja. Mara zote huwa mmoja akipanda basi mwingine hushuka.

Kwasasa Liverpool toka 2018 yupo katika kiwango bora na kilele chake wakati Manchester United wao bado wanajitafuta.


Sambaza....