CECAFA

Simba yajitoa Kombe la Kagame

Sambaza kwa marafiki....

Wawakilishi wa Tanzania katika kombe la Kagame Simba Sc ambao pia ni mabingwa wa Ligi Kuu msimu 2018/2019 wamethibitisha kujitoa katika michuano ya Kagame.

Michuano hiyo a inadhaminiwa na Rais wa Rwanda, Paul Kagame inatarajiwa kufanyika nchini Rwanda mapema mwezi Julai mwaka huu.

Aussems, kocha wa Simba

Sababu kuu iliyotolewa na klabu hiyo ni Maandalizi kwaajili ya msimu ujao 2019/2020 wa Ligi Kuu.

Ikumbukwe pia klabu ya Yanga ilipata mwaliko katika michuano hii na kuupokea kwa furaha zaidi.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.