Samatta akifunga moja ya bao
Blog

Team Kiba 3 Team Samatta 6! Tazama picha hapa!

Sambaza....

Mechi ya hisani kati ya nahodha wa timu ya Taifa Mbwana Samata na msaani maarufu wa Bongo flava na mchezaji wa Coastal Ally Kiba imepigwa leo katika uwanja wa Taifa na team Samata kuibuka wababe!

Tazama hapa picha na matukio katika mchezo huo!


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.