
Taifa Stars Tanzania
Tunayo sababu kwa sisi wa kizazi hiki ambao wengi wetu hatuna historia ya kushuhudia Timu ya Taifa ikishiriki michuano ya Afrika, kujivunia na kuiunga mkono Timu ya Taifa, Tanzania.
Bila kupapasa maneno mengi unaweza kuungana nasi kusambaza ujumbe huu kama upo pamoja pia na ni matumaini yetu Tanzania itasonga mbele. #TupoPamojaTaifaStars
Unaweza soma hizi pia..
Huyo mtu wa kufumua MFUMO wetu wa Soka yuko wapi?
Ni lini utaufumua huo mfumo wetu wa soka na hujachoka kusoma makala ambazo zinakusisitiza kufumua mfumo wetu wa soka?
Hii Galacha wa mabao wa kandanda ni nini?
Tovuti ya kandanda husheherekea na wachezaji wanaofunga mabao mengi katika Ligi Kuu kila mwezi.
Mashabiki tuanze kujichanga mapema!
Mshabiki wa timu ya taifa Tanzania, Taifa Stars, ni vema kuanza kujichanga mapema, kwakuwa mlango wetu wa kwenda AFCON 2019...