Mazoezi ya asubuhi
Blog

Wachezaji 32 wa Taifa Stars walioenda Misri

Sambaza....

Hii ni orodha ya wachezaji 32 ambayo Emmanuel Amunike, kocha wa Taifa Stars, ameondoka nao kwaajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Misri na kambi ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mwaka huu.

Magolikipa


1-Aishi Manula (Simba SC)
2-Metacha Mnata (Mbao)
3-Aron Kalambo (Tz Prisons)
4-Seleman Salula (Malindi)
5-Claryo Boniface (U20)

Mabeki


6-Hassan Kessy (Nkana, Zambia)
7-Vicent Philipo (Mbao)
8-Gadiel Michael (Yanga)
9-Mohamed Hussein (Simba)
10-Ally Sonso (Lipuli)
11-Erasto Nyoni (Simba)
12-Kelvin Yondani (Yanga)
13-David Mwantika (Azam)
14-Agrey Moris (Azam)
15-Abdi Banda (Baroka, Afrika Kusini)

Viungo


16-Himid Mao (Petrojet, Misri)
17-Mudathir Yahya (Azam)
18-Feisal Salum (Yanga)
19-Fred Tangalu (Lipuli)
20-Frank Domayo (Azam)

Winga


21-Saimon Msuva (Difaa El Jadid, Morocco)
22-Shiza Kichuya (ENPPI, Misri)
23-Farid Mussa (Tenerife, Hispania)
24-Miraji Athumani (Lipuli)
25-Yahya Zayd (Ismaily, Misri)

Washambuliaji


26-Thomas Ulimwengu (JS Soura, Algeria)
27-Shaban idd Chulunda (Tenerife, Hispania)
28-John Bocco (Simba)
29-Mbwana Samatta (Genk, Ubelgiji)
30-Kelvin John (U17)
31-Rashid Mandawa (BDF, Botswana)
32-Adi Yussuf (Blackpool, England)


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.