Ligi Kuu

Wanayanga, Timu apewe Rostam?

Sambaza....

Katika kubwa kuliko ya Yanga jana, Waziri Mkuu Mh Majaliwa alitangaza mchango wa Bilionea wa Tanzania Rostam Aziz ahadi ya kutoa shilingi milioni 200.

Waziri Mkuu Mh Majaliwa (Katikati), Mh Mwakyembe (Kushoto, Waziri wa Michezo Utamaduni na Sanaa) na Dr Msolla (Mwenyekiti wa Yanga, Kulia)

Inawezekana kuwa ndio mchango mkubwa zaidi kwa mtu mmoja mmoja ukiachana na Kampuni, swali langu kwenu mashabiki wa Yanga ni….


Sorry, there are no polls available at the moment.

Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.