Abdallah Saleh

Mchambuzi
Mchambuzi wa habari za mpira wa miguu katika kituo Times FM.
Blog

Makamu wa Rais TFF aingia matatani

Kamati ya maadili ya Shirikisho la soka nchini (TFF) inakutana leo Machi 14, 2018 pamoja na mambo mengine kamati hiyo itajadili suala la makamu wa rais wa TFF, Michael Richard Wambura aliyefikishwa kwenye kamati  akituhumiwa kwa makosa matau ya kimaadili Akidaiwa kupokea fedha za TFF malipo yasiyo halali, kughushi barua...
Mabingwa Ulaya

Mourinho alivyojikaanga na mafuta yake mwenyewe

Manchester United wamesukumwa nje ya michuano ya Uefa Champions league, hii ndio lugha nzuri unayoweza kuitumia, katika mchezo ambao Sevilla wameondoa lile jinamizi baya la kutofanya vizuri kunako ardhi ya malikia Ndio Sevilla wamefanikiwa kuondoa jinamizi, kwa maana hapo kabla walicheza michezo minne nchini Uingereza wakiambulia sare tatu na kufungwa...
Ligi Kuu

Hiki ndicho kilicho mpa Tshishimbi ubabe wa Februari

Kiungo mahiri wa Yanga sc, Papy Tshitshimbi amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya soka Tanzania bara kwa mwezi Februari 2018 Mchezaji huyo raia wa Congo (DRC) ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda kiungo mwingine wa Yanga sc, Pius Buswita na mshambuliaji wa Simba kutoka Uganda Emanuel Arnold Okwi...
Ligi Kuu

Yanga sc yapandisha mzuka, sasa ni mpaka kieleweke

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara, Yanga sc, jioni ya leo wameendeleza ubabe wao baada ya kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Stand United ya Shinyanga. Katika mchezo huo, uliofanyika kunako uwanja wa taifa jijini Dar es salaam, Yanga waliandika bao la kwanza baada beki wa...
Blog

Hatima ya mwamuzi aliyepanga matokeo Zanzibar

Chama cha soka cha visiwani Zanzibar (ZFA) kimemsimamisha mwamuzi wake,Mfaume Ally Nassor, kwa muda ili kupisha uchunguzi dhidi yake kwa tuhuma za kupanga matokeo Mwamuzi huyo kutoka visiwani humo, pamoja na waamuzi wengine Frank Komba, Israel Mujuni Nkongo na Soud Lila kutoka Tanzania bara wanachunguza na shirikisho la soka barani...
EPL

Mo Salah mwenye sura ya Kiarabu miguu ya Kiholanzi

SOKA ni mchezo unaoongozwa na historia huwezi kuiona thamani ya mchezo huu usiporudi katika historia, wengi wetu tumekuwa ni watu wakutoamini historia katika soka tukidhani kwamba ni kupoteza muda lakini si hivyo na tunavyo amini, maana mengi yanayofanywa sasa yanatoka katika historia za nyuma Tumeona wanasoka wengi ambao wanahitaji kuwa...
EPL

Rashford waza kwa kuinama kisha inua sura tafakari kipaji chako

Hutokea mara chache sana kwa kijana chipukizi aliyeaminika na kutekeleza kile ambacho kocha alikitarajia, na vile vile hutokea mara chache sana kwa kocha kuendeleza kiwango cha chipukizi mwenye kipaji halisi cha soka . Akiwa na umri wa miaka 18 kwenye kombe la Dunia mwaka 1998 nchini Ufaransa, kocha wa timu...
Shirikisho Afrika

Simba ikiyafanya haya machache Waarabu wamekwisha

Mara baada ya Yanga sc kuangukia pua hapo jana kwa kukubali kichapo wakiwa nyumbani cha mabao 2-1 kutoka kwa Township Rollers, leo wawakilishi wengine kwenye michuano ya kombe la shirikisho hapa nawazungumzia wekundu wa msimbazi Simba sc, watashuka kwenye uwanja wa taifa kuwakaribisha Al Masri ya kutoka Misri Kuelekea katika...
Mabingwa Afrika

Mashabiki Yanga mmesikia maneno ya Mkwasa?

Mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga sc, kesho watashuka kunako uwanja wa taifa jijini Dar es salaam kuwakaribisha Township Rollers ya Botswana katika mchezo wa raundi ya kwanza ya ligi ya vilabu bingwa barani Afrika Kuelekea katika mchezo huo, Katibu mkuu wa klabu hiyo Charles Boniface Mkwasa "Master" amewataka mashabiki...
Ligi Kuu

Miguu ya Pius Buswita inavyowamaliza wapinzani kimyakimya

Kwa jicho la kawaida unaweza usiione sawasawa kazi ya miguu yake, lakini ukimtazama kwa jicho la kiufundi unaweza ukagundua vitu vingi sana na ni mchezaji mwenye madhara makubwa kwa wapinzani waliokutana na Yanga sc mpaka sasa, sio mchezaji mwenye vitu vingi lakini yeye amekuwa akifanya vile vya msingi vinavyoisaidia timu...
1 8 9 10 11 12 17
Page 10 of 17