Abdallah Saleh

Mchambuzi
Mchambuzi wa habari za mpira wa miguu katika kituo Times FM.
Blog

Dismas Ten alivyoizungumzia Simba sc

Hafsa habari wa klabu ya Yanga sc, Dismas Ten amesema kuwa sio jambo jema sana kujisifia kutoa sare ugenini kwa maana halikuwa lengo la kila mmoja Akiongea kutoka makao makuu ya klabu hiyo mitaa ya Twiga na Jangwani, Ten alisema kuwa lengo ilikuwa ni kuona timu zinafudhu kwenda kunako hatua...
Ligi Kuu

Sanga alitolea ufafanuzi suala la Lyanga

Uongozi wa klabu ya Singida United inayoshiriki Ligi kuu ya soka Tanzania bara, umekanusha vikali taarifa kuhusu mshambulaji wao Danny Lyanga, kufungiwa kucheza mpira na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) Taarifa za awali zilisema kuwa, mshambuliaji huyo amefungiwa kwa kipindi cha miezi na Shirikisho la soka Duniani FIFA, baada ya...
Shirikisho Afrika

Yanga sc yapewa kiboko ya Zamalek

Mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga sc, watavaana na klabu ya Walayta Dicha ya Ethiopia katika mchezo wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la barani Afrika. Hiyo itakuwa ni mara ya pili kwa klabu hiyo ya Ethiopia kuja nchini, ambapo mwezi Februari walikuja visiwani...
Ligi Kuu

Msiempenda Kaja.

Hii inaweza kuwa ni Habari njema kwa mashabiki na wapenzi wa mabingwa watetezi wa Ligi kuu soka Tanzania bara, Yanga sc, kwa urejeo wa mshambulizi wa kikosi hicho Donald Ngoma. Ngoma anataraji kuungana na kikosi hicho Alhamisi ya wiki hii, kujiandaa na mchezo wa michuano ya Azam Sports Federation Cup...
Blog

Stars yatua Algiers kuwakabili El Khadra

Timu ya taifa ya Tanzania "Taifa Stars, imetua Algiers, Algeria na kupokelewa na balozi wa Tanzania nchini humo mheshimiwa Omar Yusuf Mzee. Stars inayolewa na kocha Salum Mayanga akisaidiwa na Ally Bushir, ipo nchini humo kwa mchezo wa kimataifa wa kirafiki utakaochezwa kwenye tarehe za kalenda ya FIFA Machi 22,...
Blog

Samatta apokelewa na balozi nchini Algeria.

Msambuliaji wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amewasili leo nchini Algeria na kupeokelewa na balozi wa Tanzania nchini humo Ndugu Omar Yusuf Mzee.. Mshambuliaji huyo yupo nchini humo kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa kirafika kati ya Taifa stars dhidi wenyeji Algeria utakaopigwa Machi 22, 2018 Nahodha huyo wa timu...
Shirikisho Afrika

Mpinzani wa Yanga sc kujulikana wiki hii

Yanga sasa itacheza kombe la shirikisho Afrika baada ya kuondolewa kunako ligi ya vilabu bingwa Africa, kanuni za CAF katika round hii ya 16 ni kwamba timu 16, ambazo hazikufuzu hatua ya makundi klabu bingwa zitakutanishwa na timu 16, zilizofuzu hatua ya kwanza michuano ya kombe la Shirikisho na droo...
La Liga

CR7 mwenye ahadi yake ya mwezi Novemba

Mengi yalizungumzwa sana mwanzoni mwa msimu huu ligi kuu Hispania maarufu kama La Liga, hiyo ni kutokana na ukame wa mabao aliokuwa nao mshambuliaji Cristiano Ronaldo na kutafsiriwa kuwa kiwango chake kimefikia tamati. Kwa sasa hali imeonekana kubadilika, mara baada ya mshambuliaji huyo wa Real Madrid kufunga mabao manne katika...
Blog

Rufaa ya Wambura imebeba mambo mazito

Wakili wa Michael Richard Wambura, Emmanuel Muga amesema kuwa wameamua kukataa rufaa ili kutafuta haki yao, Wakili huyo amesema wameambatanisha mambo ya kisheria na mambo matano ya msingi yaliyopelekea kukata rufaa hiyo "Tumeandaa rufaa na imekamilika, tumeshalipia kwa mujibu wa kanuni za TFF kuwa ilipiwe shilingi milioni moja, na kuanza...
Mabingwa Afrika

Lwandamina aunguruma Botswana, asema wapo tayari

Kocha mkuu wa mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga sc, Mzambia George Lwandamina, "Chicken" amesema kuwa kambi yao inaendelea vizuri kuelekea mchezo wa marejeano wa ligi ya mabingwa Afrika, dhidi ya wenyeji wao Township Rollers ya Botswana Yanga sc, ambayo imepiga kambi kunako Hotel ya Crystal Palace mjini Gaborone, inataraji...
1 7 8 9 10 11 17
Page 9 of 17