Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Blog

Saido Mane apagawa na Diamond Platnumz !

Jana kulikuwa na halfa ya utoaji tunzo za soka barani Afrika zinazoandaliwa na shirikisho la soka barani Afrika (CAF) ambapo tulishuhudia mchezaji wa Senegal na Liverpool ya England akiibuka kuwa mchezaji bora wa Afrika kwa mara ya tatu mfululizo. Katika halfa hiyo , mwanamuziki wa Tanzania,  Diamond Platnumz aliarikwa kwenda...
Ligi Kuu

MKWASA ni kocha bora kuzidi Kocha wa Simba !

Simba na Yanga wapo katika visiwa vya Zanzibar wakishiriki katika michuano ya kombe la Mapinduzi ambapo timu zote jana zimefanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo. Wakati michuano hiyo ya kombe la mapinduzi ikiendelea,  jana shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania (TFF) lilitoa tunzo za kocha...
Blog

MOLINGA alitakiwa aondoke na MWINYI ZAHERA

  Habari ambazo zinaenea kwa Kasi muda huu ni kuhusu David Molinga kuachana na klabu ya Yanga kwa madai ya matatizo ya nidhamu ambayo amekuwa akiyaonesha mara kwa mara. Kwangu Mimi nano "matatizo ya nidhamu " linatumika kuuficha ukweli , ukweli ambao David Molinga ndiyo unamfanya aondolewe katika timu hiyo...
Blog

Nililogwa wakati nikiwa Yanga -JUMA BALINYA

Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga ambaye alisajiliwa msimu huu na kutemwa msimu Juma Balinya amedai kuwa wakati yuko Yanga kulikuwa na michezo ya kishirikina aliyofanyiwa na wachezaji wenzake. Mchezaji huyo ambaye alikuja Yanga akiwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Uganda , amedai kuwa kuna baadhi ya wachezaji ambao walikuwa wanafanya...
Uhamisho

Baada ya kutemwa Yanga, Juma Balinya asajiliwa timu kubwa!

Mwanzoni mwa msimu huu Yanga walimsajili aliyewahi kuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Uganda 2018/2019 akiwa na timu ya Police ya Uganda , Juma Balinya. Juma Balinya alikuja kuziba nafasi ya mshambuliaji Makambo ambaye alisajiliwa na timu ya Horoya ya nchini Guinea lakini Juma Balinya hakufanikiwa  kufanya vizuri. Balinya...
Tetesi

Norwich yambakiza kidogo Samatta

Watanzania wengi wamekuwa na hamu ya kumuona Mbwana Samatta akiwa kwenye ligi ya England ligi ambayo inafuatliwa na watu wengi duniani. Na ndiyo ligi pendwa hapa nyumbani Tanzania. Norwich wanaonekana kuhitaji huduma ya Mtanzania huyo anayekipiga KR Genk kwa sasa . Norwich imeshapeleka ofa mbalimbali kwenye timu ya KR Genk...
Blog

Sababu kwanini BENO KAKOLANYA ni bora kuzidi AISHI MANULA

Simba kwa sasa ina walinda milango wawili ambao wanaonekana ni bora sana, Beno Kakolanya ambaye alisajiliwa na Simba akitokea Yanga , pamoja na Aishi Manula ambaye amekuwa na kikosi kile cha Simba kwa muda sasa hivi , kiufundi tumejaribu kutazama nani bora kati yao na tumekuja na sababu kadhaa zinazombeba...
Tetesi

David Molinga kutemwa Yanga

Baada ya Jana David Molinga kutoonekana hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba wa Yanga na kuacha maswali mengi kuhusiana na tukio hilo kuna Habari kuwa uongozi wa Yanga wanampango wa kuachana na mchezaji huyo. Mchezaji huyo ambaye yuko kwa mkopo katika klabu hiyo ya Yanga ,inaelezewa kuwa viongozi mbalimbali...
Ligi Kuu

DITRAM NCHIMBI alikuwa beki wa kwanza wa YANGA

  Jana katika mchezo dhidi ya Simba kocha wa Yanga Charles Boniface Mkwasa aliamua kuanza na mshambuliaji mmoja wa kati huku nyuma yake akiwa anacheza Papy Kabamba Tshishimbi. Charles Boniface Mkwasa alianza na mfumo wa 4-4-1-1 ambapo alijaza viungo wengi wenye asili ya katikati , Makame , Mapinduzi Balama ,...
1 18 19 20 21 22 79
Page 20 of 79