Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Blog

Tanzania kupeleka timu nne kwenye michuano ya CAF ?

Zimebaki asilimia 10 tu kwa Libya kuipiku Tanzania nafasi 4 za uwakilishi michuano ya vilabu CAF.Matokeo ya jana Kati ya Ac Djoliba toka Mali dhidi ya Al Nasr Bhengazi toka Libya kwa Ac Djoliba kukubali kichapo Nyumbani 0-1 yameiweka Al Nasr kwenye nafasi Bora kufuzu hatua ya robo fainali michuano...
Blog

Yanga yaweka rekodi ambayo Simba haijawahi weka !

Ligi kuu Tanzania bara inazidi kuendelea kwa kasi huku Simba akionekana ana njaa ya kulichukua tena kombe hili. Pamoja na njaa iliyopo kwa Simba , Yanga msimu huu imejitahidi kujiimarisha vya kutosha ili kupambana na Simba. Yikpe Katika harakati za kujiimarisha zaidi Yanga imejikuta ikiweka rekodi kubwa. Yanga imeweka rekodi...
EPL

Hatimaye Samatta kucheza EPL wiki ijayo!

Baada ya tetesi nyingi hatimaye Mbwana Samatta amewaaga wachezaji wenzake wa KR Genk kwa ajili ya kujiunga na ligi pendwa duniani , ligi kuu ya England. Hii ilikuwa ndoto ya Watanzania wengi kushuhudia Mtanzania akiwa anacheza kwenye ligi ambayo ni kubwa ligi ambayo inafuatiliwa kwa kiwango kikubwa. Kwa mjibu wa...
Ligi Kuu

Mexime njiani kuelekea Yanga !

Leo kulikuwa na mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga na Kagera Sugar katika uwanja wa Uhuru , mechi ambayo imemalizika kwa Kagera Sugar kuifunga Yanga kwa magoli matatu kwa Bila. Hiki ni kipigo cha kwanza cha kocha mpya Luc Eymael akiwa kama kocha mpya wa Yanga. Hii ilikuwa mechi...
1 16 17 18 19 20 79
Page 18 of 79