Thomas Mselemu

Msimamizi wa Tovuti
Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Ligi Kuu

Beki Simba amerudi mwanangu!

Kurudi kwa Salim Mbonde kunamaanisha kuzidi kuongezeka kwa ushindani katika eneo la beki wa kati, mpaka sasa nafasi hiyo ina mabeki watano lakini mwalimu Patrick amekua akiwatumia Pascal Wawa na Erasto Nyoni.
Ligi KuuUhamisho

Usajili kamili wa dirisha dogo!

Baada ya usajili wa dirisha dogo kufungwa December 15 vilabu mbalimbali vimetoa orodha ya wachezaji walioingia na waliotoka!  African Lyon. Waliotoka: Haruna Moshi -Yanga Adam Omary Prison Walioingia  mkopo Swaleh Abdallah (Azam) na Adil Nassor (Coastal Union)  AZAM FCWalioingia: Obrey Chirwa - Nogoom El Mostakbal ya Misri.         ...
1 47 48 49 50 51 66
Page 49 of 66