Thomas Mselemu

Msimamizi wa Tovuti
Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Blog

Wagombea wa Yanga hawa hapa

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetangaza majina yaliyopitishwa kwenye usaili wa Wagombea Uongozi wa Klabu ya Young Africans. Usaili umefanyika kwa siku 3 Alhamis Novemba 6,2018,Ijumaa Novemba 7,2018 na Jumamosi Novemba 8,2018 Makao Makuu ya TFF Karume,Ilala. Nafasi ya mwenyekiti Wagombea waliochukuwa na kurudisha...
Ligi Kuu

Kandanda yasheherekea na Makambo

Tovuti yetu ta kandanda.co.tz imeendelea na utaratibu wake wa kusheherekea na wachezaji wa ligi kuu Tanzania bara, ambao wanafunga mabao mengi kwa Mwezi. Mwezi uliopita, Herieter Makambo ndiye aliibuka galacha na kuwa Galacha wa mabao akifungamana na Said Dilunga. Lakini Makambo yeye alifunga mabao muhimu yaliyoisaidia Yanga kukaa kileleni. Makambo...
Mabingwa Afrika

Ratiba kamili ya ligi ya mabingwa Africa

Shirikisho la soka barani Africa (CAF) imetoa ratiba ya michezo yote ya raundi ya kwanza itakayopigwa December 14 mpaka 16 na kurudiana tena wiki moja baadae kati ya December 21 na 23. Ratiba Kamili ya Ligi ya Mabingwa Africa : Constantine (Algeria) vs Vipers (Uganda) Orlan Pirates (RSA) vs African...
Mabingwa Afrika

Kessy na Chama wanarudi nyumbani aiseeh!

Ligi ya klabu bingwa barani Africa imemaliza hatua ya awali na sasa inaingia mzunguko wa kwanza ambapo utapigwa tena katika ya December 14 na 16 na michezo ya marudiano utapigwa kati ya December 22 na 24. Wachezaji wawili wa kimataifa katika vilabu vya Nkana Rangers ya Zambia na Simba sc...
Shirikisho Afrika

Mtibwa Sugar yapiga mtu ugenini, yatuma salamu Uganda.

Wakata miwa wa Mtibwa Sugar wameendeleza ubabe wao katika michuano ya Kimataifa baada ya kutoa kipigo ugenini na kufanikiwa kuingia raundi ya kwanza katika michuano hiyo ya Shirikisho Africa. Mtibwa Sugar imefanikiwa kuifunga Northern Dynamos kwa bao moja kwa sifuri ugenini hivyo kufanikiwa kuwatoa Washelisheli. Haruna Chanongo ndie mfungaji wa...
Mabingwa Afrika

Simba ni mwendo wa 4G tuu!

Klabu ya soka ya Simba imeendeleza ubabe ugenini katika michuano ya klabu bingwa Africa baada ya kuiadhibu Mbabane Swallors nyumbani kwao. SimbaSc imeifunga mabao manne kwa sifuri Mbabane Swallors katika mchezo wa marudiano uliofanyika kwao katika uwanja wa Manzini nchini Swatziland. Alikua ni Cletus Chota Chama aliefungua kalamu ya mabao...
Blog

Kimataifa: Ukija Bongo unakula chuma nne unakufaa!

Michuano ya Kimataifa imerudi tena mwanangu na wawakilishi wa Tanzania katika michuano hiyo wameanza vizuri. Katika kombe la Shirikisho Africa Tanzania inawakilishwa na Mtibwa Sugar na upande wa Klabu Bingwa Africa inawakilishwa na Simba sc. Kwa upande wa Mtibwa Sugar  wao walicheza na Northern Dynamos kutoka Shelisheli katika uwanja wa...
Mabingwa Afrika

Cletus Cholla Chama!

Kiungo mshambuliaji wa Zâmbia katika klabu ya Simba sc Cletus Cholla Chama aliendeleza moto wake katika mashindano ya Klabu Bingwa Africa Jana katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Simba jana ilikua dimbani kuiwakilisha nchini katika michuano hiyo ya klabu bingwa Africa dhidi ya Mbabane Swallors ya Swatziland. Katika...
Ligi KuuUhamisho

Singida utd yashusha wawili wa Kimataifa!

Klabu ya soka ya Singida utd ya mkoani Singida imeendelea na harakati zake za usajili na kufanikiwa kuwanasa Wazambia wawili. Singida utd imewaongeza Wazambia wawili katika nafasi ya kiungo na ya ushambuliaji ili kujiimarisha katika Ligi Kuu Bara na michuano ya Sportpesa Supercup. Singida utd imemsajili Jonathan Daka anacheza nafasi...
1 48 49 50 51 52 66
Page 50 of 66