Simba na Yanga hawana hela ya kumlipa Shongaa
Kocha wa klabu ya Yanga Luc Eymael amethibisha kuwa alifanya mawasiliano na wakala wa nyota wa Orlando pirates, Justin Shonga ili kuangalia uwezekano wa kumsajili. Akizungumza na Jarida la michezo la Kick Off Magazine la Africa Kusini, Eymael alisema kuwa kikwazo kikubwa kilichokwamisha dili la kumsajili nyota huyo wa kimatafa...