Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Sishoboki kwa Haji Manara- NUGAZ

Yanga imeshatoka kwenye michuano ya kombe la mapinduzi, inarudi tena Tanzania bara kupambana kwa ajili ya ligi kuu Tanzania bara pamoja na kombe la shirikisho. Jumatatu Simba itakuwa inacheza na Mtibwa Sugar kwenye fainali ya kombe la mapinduzi. Timu zote zimeingia fainali Baada ya kushinda kwa changamoto ya mikwaju ya...
Blog

Diamond kuinunua Yanga?

Baada ya kupata nafasi ya kutumbuiza kwenye tunzo za CAF,  mwanamuziki nyota wa Tanzania, Diamond Platinumz ameelezea vitu ambavyo amejifunza kwenye tunzo hizo. "Wakati nipo Cairo kila mtu niliyekuwa nazungumza naye  alikuwa anamzungumzia Mbwana Samatta, natamani tungekuwa na watu wengi wanaiowakilisha nchi " -alisema Diamond. Alipoulizwa namna alivyojipanga kuandaa vijana...
Blog

Saido Mane apagawa na Diamond Platnumz !

Jana kulikuwa na halfa ya utoaji tunzo za soka barani Afrika zinazoandaliwa na shirikisho la soka barani Afrika (CAF) ambapo tulishuhudia mchezaji wa Senegal na Liverpool ya England akiibuka kuwa mchezaji bora wa Afrika kwa mara ya tatu mfululizo. Katika halfa hiyo , mwanamuziki wa Tanzania,  Diamond Platnumz aliarikwa kwenda...
Blog

MOLINGA alitakiwa aondoke na MWINYI ZAHERA

  Habari ambazo zinaenea kwa Kasi muda huu ni kuhusu David Molinga kuachana na klabu ya Yanga kwa madai ya matatizo ya nidhamu ambayo amekuwa akiyaonesha mara kwa mara. Kwangu Mimi nano "matatizo ya nidhamu " linatumika kuuficha ukweli , ukweli ambao David Molinga ndiyo unamfanya aondolewe katika timu hiyo...
Blog

Nililogwa wakati nikiwa Yanga -JUMA BALINYA

Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga ambaye alisajiliwa msimu huu na kutemwa msimu Juma Balinya amedai kuwa wakati yuko Yanga kulikuwa na michezo ya kishirikina aliyofanyiwa na wachezaji wenzake. Mchezaji huyo ambaye alikuja Yanga akiwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Uganda , amedai kuwa kuna baadhi ya wachezaji ambao walikuwa wanafanya...
Blog

Sababu kwanini BENO KAKOLANYA ni bora kuzidi AISHI MANULA

Simba kwa sasa ina walinda milango wawili ambao wanaonekana ni bora sana, Beno Kakolanya ambaye alisajiliwa na Simba akitokea Yanga , pamoja na Aishi Manula ambaye amekuwa na kikosi kile cha Simba kwa muda sasa hivi , kiufundi tumejaribu kutazama nani bora kati yao na tumekuja na sababu kadhaa zinazombeba...
Blog

Simba yamtema Mbrazil Galasa !

Leo kulikuwa na mkutano wa waandishi wa Habari na klabu ya Simba ambapo msemaji wa klabu hiyo pamoja na mtendaji mkuu wa klabu hiyo walikuwa wamazungumza kuelekea kwenye mechi ya watani wa jadi,  kwenye mkutano huo kuna mengi yamejitokeza. Moja ya kitu ambacho mtendaji mkuu wa Simba alikitolea ufafanusi nitetesi...
1 21 22 23 24 25 85
Page 23 of 85