Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Gadiel Michael anaweza kucheza TP Mazembe -Mwinyi Zahera

  Jana Mwinyi Zahera alipata nafasi ya kufanya mahojiano na Global Online TV . Mahojiano ambayo yaliibua masuala mbalimbali , moja ya kitu ambacho kiliibuka ni suala is Gadiel Michael na Ibrahim Ajib. Alipoulizwa kuhusu Ibrahim Ajib na Gadiel Michael kutopata nafasi kwenye kikosi cha Simba ukilinganisha na nafasi ambazo...
Blog

Walininyima pesa za kumsajili Morrison – ZAHERA

  Mwinyi Zahera alipata nafasi ya kuitazama timu yake ya zamani ya Yanga kwenye mechi yao ambayo waliyocheza dhidi ya Mbeya City katika uwanja wa Taifa na mechi ikaisha kwa sare ya 1-1. Katika mechi hiyo goli la Yanga lilifungwa na Bernard Morrison mchezaji ambaye amesajiliwa kipindi cha kocha wa...
Blog

Molinga ni bonge la Mshambuliaji – Zahera

Kwenye mazungumzo ya Leo kati ya Global Online TV na aliyekuwa kocha wa zamani wa Yanga , Mwinyi Zahera amedai kuwa hashangazwi na kiwango cha David Molinga kuwa na magoli 7. Kwake yeye siyo kitu cha ajabu kumuona David Molinga akiwa ndiye mchezaji anayeongoza kwa kufunga magoli mengi katika timu...
Blog

Sikutaka Morrison apumue – ABDULHALIM HUMOUD.

  Sifa yake kubwa ni kutembea juu ya mpira , sifa yake hatari ni kuisaidia timu kupata ushindi . Krosi zake ndiyo huwa mwanzo wa madhara kwenye timu pinzani. Mechi tatu mpaka sasa hivi akiwa amevaa uzi wa njano na kijani , uzi ambao kimamlaka unamilikiwa na timu ya wananchi....
Amunike
Blog

Emmanuel Amunike aula tena !

Alitupa furaha ambayo tulikuwa tunaisubiri kwa muda mrefu , miaka 39 ndiyo miaka ambayo ilitufanya tusubiri ili twende kwenye michuano ya mataifa huru ya Africa (Afcon). Mwaka 2019 ndiyo mwaka ambao tulipata furaha kubwa , furaha iliyochagizwa na Emmanuel Amunike , huyu ndiye aliyekuwa kiongozi imara kutuongoza mpaka Afcon tuliyokaa...
Blog

Juma Balinya azidi kuwatukana YANGA

Kwenye maandalizi ya msimu huu kwenye hafla kubwa ya Yanga iliyopewa jina la kubwa kuliko walileta mchezaji ambaye alionekana ni mkubwa kuliko kama mchezaji mpya wa Yanga. Mchezaji ambaye alikuja Yanga akiwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Uganda akiwa na timu ya Polisi ya Uganda, kwenye mgongo wake jezi...
1 19 20 21 22 23 85
Page 21 of 85