Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Uganda haitaibeba Stars zaidi ya kuifundisha.

GOLI la kichwa la mshambulizi, Patrick Henry dakika 11 kabla ya kumalizika kwa mchezo limeipa Uganda ´Korongo´ tiketi ya kufuzu kwa mara ya pili mfululizo fainali za Mataifa ya Afrika. Katika mchezo mgumu wa kundi L jioni ya Leo katika uwanja wa Namboole, Kampala wenyeji walionekana kama wangepoteza, kabla ya...
Blog

Eden Hazard ajiondoa tuzo za Ballon d’Or.

Winga wa timu ya soka ya Chelsea ya England Eden Hazard amesema hastahili kuchukua tuzo ya Ballon d’Or licha ya kuwa kwenye kiwango kizuri kwa sasa lakini badala yake mshambuliaji wa Paris Saint Germain na timu ya Taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe ndiye anayestahili. Hazard ambaye mpaka sasa amefunga mabao...
Blog

Onyango: Mechi dhidi ya Cape Verde ni kama fainali kwetu.

Nahodha wa timu ya Taifa ya Uganda "The Cranes" Dennis Onyango amesema Leo watajaribu kucheza kufa na kupona dhidi ya Cape Verde Ili kupata nafasi ya kushiriki kwenye michuano ya Mataifa Afrika kwa Mara ya pili mfululizo. Onyango ameitaja mechi hiyo ambayo itapigwa katika uwanja wa Mandela uliopo Namboole Kama...
Blog

Tumeamua kufanya mabadiliko? Basi Cheo cha Usemaji wa klabu KISIWEPO!

Hapana shaka unahitaji maamuzi magumu kufikia ndoto yako ambayo unaiota kila siku kuifikia. Unahitaji kujikana kwenye vitu vingi katika maisha yako. Na kuna wakati mwingine kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa tunavipenda sana huwa inatuhitaji kuviacha ili kufikia tu sehemu ambayo tunaiota. Kwa kifupi mafanikio huja na sadaka kubwa sana....
Blog

Yanga inamwihitaji TIBOROA kama mwenyekiti na MANJI kama mwekezaji.

Yanga ipo katika kipindi kigumu sana kwa sasa. Kipindi ambacho unahitaji moyo kukipitia. Ndicho kipindi ambacho kama mwanadamu wa kawaida unaweza kupoteza marafiki wengi sana na ndicho kipindi ambacho unaweza kuwajua marafiki wa kweli. Hakuna mwanadamu anayependa shida hata kidogo, binadamu wote tunapenda tuishi maisha ya amani na furaha tele,...
Blog

Rasmi: Kerr avunja mkataba wake na Gor Mahia

Klabu ya soka ya Gor Mahia ya nchini Kenya imethibitisha Usiku wa kuamkia leo, kupokea barua ya kujiuzulu kwa kocha mkuu Dylan Kerr aliyedumu katika Klabu hiyo kwa kipindi cha miaka miwili. Mwenyekiti wa klabu ya Gor Mahia Ambrose Rachier amethibitisha taarifa hizo katika tovuti ya klabu kwa kusema kuwa...
Blog

Tarehe ya uchaguzi yasogezwa

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imesogeza mbele tarehe ya mwisho ya zoezi la kuchukua na kurudisha fomu za kugombea Uongozi katika Klabu ya Young Africans, kwa mujibu wa taarifa toka TFF imesema. Zoezi hilo limeongezwa siku 5 na sasa litakwenda mpaka Novemba 19,2018 ambapo...
Blog

Mhilu na kundi la yosso watano wanapaswa kusaidiwa Yanga SC

MAKA Edward, Yusuph Mhilu, Paul Godfrey ni wachezaji vijana ambao waliweza ´kuruka´ kutoka timu ya vijana na moja kwa moja kupata nafasi ya kucheza ligi kuu Tanzania bara. Vijana hao watatu waliungana na waliokuwa wachezaji wa timu ya Taifa Tanzania U17 April, 2017 katika michuano ya Mataifa ya Afrika, golikipa...
Blog

Nyota Mohamed Aboutrika auhukumiwa kwenda jela.

Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Misri Mohamed Aboutrika amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kukwepa kulipa kodi. Aboutrika anaweza kukwepa kifungo hicho kama atalipa faini ya Dola 1115. Aboutrika hakuwepo mahakani Jijini Cairo wakati hukumu hiyo ikisomwa ambapo alikutwa na hatia ya kukwepa kodi...
Blog

Cole atangaza kutandika daluga.

Kiungo mshambuliaji Joe Cole ambaye amewahi kuhudumu katika timu ya Taifa ya England, na vilabu kama West Ham na Chelsea ametangaza kutandika Daluga baada ya miongo miwili ya kusakata kandanda. Cole mwenye umri wa miaka 37 amecheza zaidi ya mechi 700 kwenye maisha yake ya soka katika vilabu saba tofauti...
1 60 61 62 63 64 85
Page 62 of 85