Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Ahh, Hiki ndicho kilichomleta Chama Msimbazi.

Ukiwa mtaani kwa sasa, mambo ni bomba kabisa kwani kila shabiki wa soka nchini hasa wale waumini wa soka la ndani basi ni furaha tupu. Ni mara chache sana kukuta mashabiki wote wanafurahi lakini kwa wale wa timu kubwa kama Simba, Yanga na Azam Fc wote wanafuraha kwa kuwa timu...
Blog

Ghafla nimemkumbuka Masoud Djuma

  Aliwah kujibebea mashabiki wengi sana hapa nchini kulingana na aina ya soka ambalo aliwahi kulionesha kwenye ligi yetu hii. Kipindi anaingia aliingia na mfumo ambao ulionekana mgeni sana kwenye ligi yetu, lakini ndiyo mfumo ambao ulikuwepo sokoni kwa kipindi hicho. Mfumo ambao ulikuwa unaendana na mabadiliko ya sasa ya...
BlogLigi Kuu

Ruvu Shooting: Tumepokea salamu za Matola, ila………..

Klabu ya soka ya Ruvu Shooting imeitahadharisha timu ya soka ya Lipuli FC kuwa wasitarajie mteremko katika mchezo wao unaofuata wa Ligi kama iivyokuwa kwa Biashara United kwa kupata ushindi wa mabao 3-1. Ruvu Shooting kupitia kwa Msemaji wao Masau Bwire imesema kwamba imepata ujumbe kutoka kwa kocha msaidizi Seleman...
Blog

Hivi ule mchango wa kuichangia YANGA uliishia wapi ?

Jana nilikuwa mimekaa kwenye banda umiza nikiwa natazama mechi kati ya Tanzania Prisons na Yanga. Hapana shaka hii ni mechi ambayo ilikuwa na hisia kubwa sana kuzidi mechi zote ambazo zimechezwa msimu huu kwenye ligi kuu. Ilikuwa mechi ambayo ilionesha namna gani ambavyo mashabiki wa Yanga wana mapenzi makubwa na timu...
Blog

Kijitonyama Combine yalipa kisasi mbele ya Chama la Wana Fc.

Timu ya Kijitonyama Combine imefanikiwa kulipa kisasi kwa kuichapa timu ya Chama la Wana Fc  ambayo ni muunganiko wa wanafunzi waliosoma chuo cha St Augustine kwa mkoa wa Dar es alaam kwa  mabao 3-2 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa katika uwanja wa TTCL- Kijitonyama. Mchezo huo ambao ulikuwa ni wa...
Blog

Mrithi wa Manji huyu hapa.

Suleiman Lukumay amechaguliwa na kamati ya utendaji ya klabu ya Yanga kuwa kaimu mwenyekiti wa klabu ya Yanga. Suleiman Lukumay amechaguliwa kuziba nafasi hiyo iliyoachwa wazi na aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo Yusuph Manji, ambaye amejiuzuru kwa muda wa mwaka mmoja sasa. Suleiman Lukumay atakaimu nafasi hiyo mpaka Yanga itakapofanya...
Blog

Kimataifa: Ukija Bongo unakula chuma nne unakufaa!

Michuano ya Kimataifa imerudi tena mwanangu na wawakilishi wa Tanzania katika michuano hiyo wameanza vizuri. Katika kombe la Shirikisho Africa Tanzania inawakilishwa na Mtibwa Sugar na upande wa Klabu Bingwa Africa inawakilishwa na Simba sc. Kwa upande wa Mtibwa Sugar  wao walicheza na Northern Dynamos kutoka Shelisheli katika uwanja wa...
1 58 59 60 61 62 85
Page 60 of 85