Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Meddie Kagere anatupa funzo lingine muhimu katika soka.

MEDDIE Kagere alifunga goli lake la 12 tangu aliposainiwa Simba SC Julai iliyopita. Alifungamagoli manne na kuisaidia Simba kufika fainali ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati, tayari amefunga magoli saba katika ligi kuu Tanzania Bara, na goli lake la 12 dhidi ya Mbabane Swallows FC jana jioni katika ligi...
Blog

Natamani CHAMA asome kitabu cha NONDA

Ardhi yetu inakila aina ya baraka, ina kila aina ya uzuri. Kwa kifupi nchi yetu imebarikiwa sana. Kuna vingi sana vya kujivunia ndani ya nchi yetu. Mungu alileta amani na kuifanya nchi yetu iwe kisiwa cha amani. Tunajivunia amani ambayo tuko nayo, tunajivunia utulivu tulionao. Hakutunyima vitu vingi vizuri. Hata...
ASFCBlog

TFF, Milioni 50 za Mtibwa Sugar zipo wapi?!

Mara nyingi tumezoea mtu unapofanya kazi basi utalipwa, ama unapofanya kazi nzuri utapongezwa lakini haipo hivyo kwa klabu ya soka ya Mtibwa Sugar ambao toka wachukue ubingwa wa Azam Sports Federation Cup mwezi Juni mwaka huu mpaka leo hawajalipwa zawadi yao ya Milioni 50. Mtibwa Sugar waliifunga Singida United katika...
Blog

Kwa hali hii Coastal Union wapo juu!

Coastal Union "Wagosi wa kaya" kutoka Tanga wamerudi katika Ligi Kuu Bara baada ya kushuka daraja misimu miwili iliyopita baada ya kushuka na timu nyingine mbili za Jiji hilo kwa pamoja. Baada ya kufanikiwa kurudi katika Ligi Kuu Bara wameoyesha ni kiasi gani wamejipanga ili lisiwatokee janga lá kushuka daraja...
Blog

Makambo anawasahaulisha YANGA kuwa wanahitaji Mshambuliaji.

Bado wako katika kampeni za kuusaka ubingwa, kampeni ambazo zinaonekana kwao zinaenda vyema. Mpaka sasa hawajafungwa hata mechi moja. Wameshinda mechi 10 kati ya mechi 12 ambazo wamecheza msimu huu kwenye ligi kuu Tanzania bara. Kwanini Yanga wanahitaji mshambuliaji mwingine? Hii ligi ni ndefu kuna wakati wachezaji hupata majeraha, huchoka...
Blog

Ni Yanga pekee wanaoweza kumsaidia Kindoki

MWAKA 2004 nikiwa U18 nilikuwa sehemu ya kikosi cha Jamaica FC ya Mkoani Morogoro. Katika moja ya siku mbaya katika maisha yangu ya soka ilikuwa wakati kocha Ally Jangalu aliponifanyia mabadiliko dakika tano kabla ya kumalizika kwa kipindi cha kwanza. Ilikuwa ni katika mchezo wa kirafiki ndani ya uwanja wa...
Blog

Kama soka ni hesabu, Stars itaenda Cameroon.

NILIKUWA na imani kubwa kwa Lesotho kupata ushindi dhidi ya Tanzania katika mchezo wa tano wa kundi la mwisho kuwania nafasi ya kufuzu kwa fainali za kombe la Mataifa ya Afrika 2019 (michuano itakayo nchini Cameroon) MIPANGO Kwa sababu za kimpira, mechi ya Jumapili huko Maseru ilikuwa ngumu tangu Oktoba...
Blog

Kwanini Tanzania ilifungwa dhidi ya Lesotho?

Jana timu ya taifa ya Tanzania ilikuwa uwanjani kutafuta alama tatu ambazo zingeiwezesha kufuzu moja kwa moja kwenye michuano ya Afcon lakini kwa bahati mbaya walifungwa goli moja kwa bila na kuwalazimu kusubiri mpaka mechi ya mwisho ambayo itaamua nani atakayeweza kufuzu. Hizi hapa ni sababu ambazo zilisababisha Taifa Stars...
Blog

Tunaukimbia ukweli kwa kujificha kwenye kichaka cha kumlaumu Amunike!

Tarehe 22/08/2017 niliamka na mawazo sana, mawazo ambayo yalitokana na mimi kuona furaha ambayo walikuwa nayo Watanzania baada ya kutangazwa Emmanuel Amunike kuwa kocha mkuu wa Taifa Stars. >>>Tunawekeza ubora wa paa la Taifa stars na kusahau msingi wake. Kocha ambaye alicheza kwa mafanikio makubwa enzi za uchezaji wake. Alicheza...
Blog

Maeneo yanayoweza kuinyima ushindi STARS dhidi LESOTHO!

Leo Taifa Stars inacheza mechi ambayo itaamua uwezekano wa wao kushiriki Afcon ya mwaka 2019 huko Cameron. Wanahitaji ushindi ambao utawahakikishia safari ya kwenda Cameron. Kama wakishinda watakuwa wamefikisha alama 8 ambazo haziwezi kufikiwa na Cape Verde pamoja na Lesotho. Hivo watakuwa wameungana na Uganda moja kwa moja kwenda Cameron....
1 59 60 61 62 63 85
Page 61 of 85